Search
Generic filters
Notifications
Clear all

[Sticky] Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa  


johnmwamlima


Posts: 4
Joined: 3 weeks ago

Iwapo una laini ya Safaricom na unatumia huduma ya M-Pesa Kenya, na unataka ku deposit pesa kwenye account yako ya TemplerFx, fuata mtiririko huu ili kufahamu jinsi ya ku deposit kiasi cha pesa upendacho.

Jambo la kwanza ni kuhakikisha account yako ya M-Pesa ina balance inayolingana na  kiasi unachotaka ku deposit, waweza kuwa na kiwango chochote kisichopungua KES 200 au Kiwango cha KES kinacholingana na 1 USD

Jinsi ya kuweka na kutoa pesa Templer Fx kwa Safaricom M Pesa:

  1. Kwa kutumia computer yako, Login kwenye account yako ya TemplerFx
  2. Kwenye menu ya upande wa kushoto, bofya palipoandikwa Finance
  3. Chini yake utaona Deposits, bofya link hiyo.
  4. Kwenye ukurasa utakaofunguka, chagua account unayotaka ku-deposit, na iwapo bado hujatengeneza account, utaambiwa utengeneze account.
  5. Ukishachagua account, bofya sehemu iliyoandikwa Select a payment System
  6. Chagua palipoandikwa IPay Africa
  7. Baada ya hapo utachagua Method of payment
  8. Hapo sasa utachagua M-Pesa Kenya
  9. Bofya/Tick sehemu ya kukubali vigezo na masharti na iwapo ungependa bonus pia.
  10. Bofya kitufe kilichoandikwa DEPOSIT KES XXX 
TemplerFx M-Pesa Deposit


Kwenye page itakayotokea ya kufanya malipo, iwapo upo Tanzania au ncho tofauti na Kenya, utalazimika ku-edit namba yako iliyopo, na kuweka namba yako ya Safaricom, utafanya hivyo kwa kubofya ki-tick kilichoandikwa (I need to change ...) kisha utaweka namba yako ya Safaricom bila kuweka code yaani utaanza na  07XXXXXXXX

Ukisha edit namba yako na kuweka namba ya Safaricom, utabofya PAY NOW, na hapo iwapo unatumia Smart Phone, utakuwa Prompted kwenye simu yako kuweka namba ya siri.

TemplerFx M-Pesa Deposit


Iwapo laini yako ya Safaricom ipo kwenye simu isiyo smart (kitochi) basi waweza amua kutumia njia ya zamani kwa kubofya maneno yenye rangi ya brown yaliyoandikwa

I did not get a prompt on my phone. Take me to the previous MPESA payment method

Baada ya hapo, fuata maelekezo yafuata jinsi ya kulipa pesa, na muda huo huo ukishalipa utaona balance yako kwenye account yako ya TemplerFx

9 Replies
Crazy_Trader


Posts: 19
Joined: 2 months ago

Hivi ukikosea muamala unaazia wapi?

Reply
5 Replies
ray_heriel
Joined: 8 months agoPosts: 24

@crazy_trader nadhani kuna watu mahususi kwa ajili ya kutoa msaada.

customer support 

Reply
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@crazy_trader Balaa zito hilo inabidi uwe mwangalifu sana.

Reply
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@crazy_trader ishawahi kukumba nini?

Reply
Developer
Admin
Joined: 10 months agoPosts: 16

@tracz kauliza tu for precautions

Reply
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@developer anhaa okay sawa 

Reply
Crazy_Trader


Posts: 19
Joined: 2 months ago

ooh okay asante

Reply
2 Replies
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@crazy_trader karibu brother

 

Reply
Crazy_Trader
Joined: 2 months agoPosts: 19

@tracz thanks

Reply
Share: