Search
Generic filters
Notifications
Clear all

[Sticky] KUCHAGUA FOREX MENTOR  


Ivankamwita


Posts: 3
Joined: 3 weeks ago

Unapochagua Forex mentor 

1.Usiangalia lifesyle (Magari, Nyumba, maisha/vitu  vya gharama na starehe anazosihi n.k ) 90% ya muda hua ni vyakukodisha ili kukudaka.

2.Usisikilize maneno ya motivation (in most cases hua ni porojo fabricated strories)

Angalia trading yake tu JE huyo mtu ni consistent profitable trader.

na wengi tunachanganya hapa kwenye consistent profitable tunafkiri ni mtu anatakiwa kua right on every trade.

Hivyo sivyo trading inavyoenda. Anaweza akawa na bad weeks,months ata year lakini as long as overall  huyu mtu ana profit kwa kipindi kirefu cha miezi au miaka anastahili kua mentor wako.

Kama Anafundisha Forex anatakiwa kutoa na kuupdate results zake Angalau kila baada ya Miezi mitatu ya trading

1. kushare experience yake na wanafunzi wake

2. kuwatia moyo wanafunzi wake maana ukweli trading sio rahisi wanafunzi wanahitaji motivation kwamba inawezekana wasikate  tamaa.

 

KIKUBWA UNAPOCHAGUA MENTOR ANGALIA TRADING YAKE HASWA. 

Ila ukimpata mwenye TRADING RESULTS/ PERFOMANCE NZURI NA PIA ANA LIFESTYLE KALI kila siku location Hyatt regency anagonga mvinyo huyo ni mzuri zaidi maana kuachana na trading atakuonesha viwanja hahahah!!!. Ila lamsingi usiwe fooled na hyatt regency peke yake.

10 Replies
MarketWizard
Verified

Posts: 13
Joined: 6 months ago

Umeongea jambo la msingi sana.

Reply
ray_heriel


Posts: 24
Joined: 8 months ago

That's true

Reply
Kingkicker


Posts: 2
Joined: 7 months ago

Natamani huu uzi ningeusoma miezi kadhaa iliyopita 😥 

Reply
7 Replies
Developer
Admin
Joined: 10 months agoPosts: 16

@kingkicker kuna muda inabidi upitie changamoto ili ukikutana na lulu lazima uzingaitie. But anyways bora umepitia sasahivi kuliko ungechelewa zaidi.

Reply
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@kingkicker bro sio wewe tu maana hizi changamoto sio poa aisee. Juzi juzi tu nimeunguza account tatu ndani ya mwezi.

Reply
Kingkicker
Joined: 7 months agoPosts: 2

@tracz Dah! Pole sana kaka. Mimi nilikutana na mentor mchawara mpaka amenipotezea focus yangu.

Reply
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@kingkicker seam kuwataja sio poa ila aisee traders wanaingia kwenye mtego sana, hawa mentor uchwara hawwajui kitu kabisa. Yani ni viprice action va kijinga halafu wanacharge pesa ndefu kinoma

Reply
Crazy_Trader
Joined: 2 months agoPosts: 19

@tracz wateje tu mzee baba sisi wengine tusalimike

Reply
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@crazy_trader hahaa 😂😂😂

Reply
Alex_Makando
Joined: 3 weeks agoPosts: 5

@kingkicker
Acha tu mzee baba

Reply
Share: