Search
Generic filters
Notifications
Clear all

Nini cha kufanya wakati wa weekend?  


tracz


Posts: 31
Joined: 3 weeks ago

Mara nyingi nimekuwa najiuliza traders wenzangu huwa mnafanya nini wakati wa weekend? Maana kama wiki imeisha ndivyo sivyo ni rahisi sana kupotezea charts. Wadau fungukeni huwa mnafanya nini?

10 Replies
herberth_hbt


Posts: 4
Joined: 2 years ago

Weekend ni kwa ajili ya kupumzika but sishauri, unless una financial freedom. Kama ni beginner its better you spend time uki soldify your skill maana it will help you become financial free and rest on weekends.

Reply
MarketWizard
Verified

Posts: 13
Joined: 6 months ago

Nimekuwa na trade karibu miaka minne. Idea zangu zote zilizopiga pesa nyingi zilikuwa formed on weekend. So itumie weekend vizuri itakusaidia sana

Reply
MarketWizard
Verified

Posts: 13
Joined: 6 months ago

@joshjulius what do you have to say brother

Reply
7 Replies
JoshJulius
Joined: 7 months agoPosts: 2

@marketwizard
Binafsi weekend huwa napenda kujifunza maarifa mapya especially kusoma vitabu kisha naangilia wiki iliyopita iliendaje najaza kwenye journal kila kilichotokea, na kama kuna makosa nafikiria solution baada ya hapo nafanya analysis kutengeneza watchlist ya wiki inayofuatia

Reply
Jonathan_Mulokozi
Joined: 3 weeks agoPosts: 9

Samahani brother nina swali. Unawezaje kutengeneza watchlist maana najaribu sana ila mwanzo wa wiki najikuta na nahamisha focus?

Reply
ray_heriel
Joined: 8 months agoPosts: 24

good question but i think @joshjulius atalijibu mwenyewe. Kila trader yuko different.

Reply
Jonathan_Mulokozi
Joined: 3 weeks agoPosts: 9

Sawa kaka asante sana

Reply
JoshJulius
Joined: 7 months agoPosts: 2

@jonathan_mulokozi
Watchlist inakua na pair ambazo zinaonekana kuwa na fursa sokoni pale soko litakapofunguliwa sasa hapo itategemea na system yako ya trading inakuonesha nini so kila opportunity unayoiona ktk pair husika kulingana na system yako unanote ili soko likianza kazi yako iwe kufuatilia usije kupitwa pale setup itakapotokea

Reply
Jonathan_Mulokozi
Joined: 3 weeks agoPosts: 9

@joshjulius
Anhaa ina maana sio kila pair kwenye watchlist itakuwa a potential opportunity?
Basi muda mwingi watchlist zangu hazileti opportunity basi najikuta nahama kabisa.

Reply
tracz
Joined: 3 weeks agoPosts: 31

@joshjulius
Thanks for the tip bro.

Reply
Share: