Search
Generic filters
Notifications
Clear all

Struggle Za Kutrade Live Account (Ukweli Halisi)  


tracz


Posts: 31
Joined: 3 weeks ago

Habari zenu wadau, kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu kwa piptwitz kwa kutuunganisha sote ili tuweze kusaidiana katika industry hii.

Leo nitaongelea struggle nazopitia toka nilipoanza kutrade live account na wewe unaesoma uweze kupata mwanga kidogo kabla hujaanza kutrade live. 

Wakati natrade system yangu ilikuwa very profitable kwenye demo ila toka nilipoanza live nimelose trade 7 kati ya 8 za kwanza, nimekuwa mwangalifu sana kwenye entries na exits zangu lakini zote trade 7 zimegonga mwamba. 

Nauliza wadau wazoefu je hii ni kawaida au nakosea mahali, au kuna utofauti kati ya live na demo?

4 Replies
Rymes


Posts: 1
Joined: 5 months ago

Pole sana! Kila trader huwa anapitia uko anapoianza Safar yak kweny biashara hii,ni kwel km unavyosema Ila elewa hapo Kuna demo na live account hivi n vitu viwil vinavyoendan na vinatenda Kaz sawa, me naona unashindwa kujiamin inawezeka vp same strategy and rules unaitumia kwenye demo uiapply kweny live Mambo yaende tofaut! Jarb kubadil mind set alaf utajua n kwa nn!!

Reply
3 Replies
MarketWizard
Joined: 6 months ago

Verified

Posts: 13

That's true. Kila mtu anapitia sema tofauti ni kwamba successful traders wana tafuta njia za ku get along.

Reply
ray_heriel
Joined: 8 months agoPosts: 24

that's true

Reply
herberth_hbt
Joined: 2 years agoPosts: 4

nlitaka kusema hii kitu sema umeshasema. Nadhani ni mindeset huwa ndo inabadilika ila reality inabaki pale pale. Just trust your self na your skill.

Reply
Share: