Search
Generic filters
Notifications
Clear all

Hivi ni sahihi kuchukua partial profits?  

  

0

Habari wadau je ni sawa kuchukua partial profits ili trade ikigeuka atleast uwe na faida kidogo. Mara nyingi trades nazochukua zina geuka baadae na kupeleka kukosa kitu kabisa. 

 

1 Answer
0

@crazy_trader Chukua partial profit trade zikitembea at least half of the move.

Answer
Share: