Search
Generic filters
Notifications
Clear all

Muda gani ni mzuri wa kutrade Australian Dollar?  

  

2

Nauliza wadau ni mgani mzuri wa kutrade Australian Dollar maana naskia masoko ya Asia ya consolidate sana kupelekea kushindwa kupata pips nyingi.

Tusaidiane katika hili

2 Answers
2

@tracz Ni kweli muda mwingi asia kuna kua hama liquidity lakini haimaniishi kuwa huwezi kutrade the australian dollar, Mara nyingi unaweza kutrade wakati wa new york na london session kwa mfano pair kama AUD/USD GBP/USD GBP/AUD ni mifano michache ya pair ambazo unaweza kutrade muda mwengine na kukawa na volume ya kutosha ili uweze kupata pips.

asante sana

0

Kuanzia saa saba usiku hadi asubuhi muda wa london.

Answer
Share: