Search
Generic filters
Notifications
Clear all

Naombeni ufafanuzi wa Cent Account  

  

0

Hii kitu inanichanganya sana, naombeni msaada. 

1 Answer
0

@tracz, Cent account ni account ambazo balance yako iko interms of Cents na sio US dollar.

Kwa mfano ukideposit dollar 100 ni sawa na cent 10000

Hii itakusaidia kufanya risk management vizuri kama una mtaji mdogo.

Answer
Share: