Search
Generic filters
Notifications
Clear all

Una tambuwaje kuwa huu ni muda fasaha wa kutoka Demo kwenda live Account?  

  

0

Nimekuwa nikitrade demo kwa muda mrefu sana ila bado naogopa kwenda live, kipi nikipimo sahihi?

This topic was modified 2 weeks ago by Developer
4 Answers
0

When you have a consistently profitable strategy then you can start trading live. If you’re not profitable, if you dont risk the same % per trade, if you dont follow your rules, if you dont close the position when you’re supposed to, then you’re not ready.

0

Kwanza kabisa hupaswi kukaa kwenye demo muda mrefu sana maana hata kutrade live nako ni kujifunza, zile hela utakazo poteza mwanzoni mwa live account ni tuition tosha. nadhani demo ni zuri ila kwa kipindi kifupi tu. Trade live na mtaji mdogo then ongeza taratibu. But kukaa kwenye demo muda mrefu hakusaidii.

0

Alie post huu uzi ubarikiwe 

0

Hizi ni dalili tano amabazo zitakuonyesha uko tayari kutrade live.

 

  1. Una uwezo kutengeneza consistent profit kwa kipindi kirefu.
  2. Uko imara kwenye usimamizi mzuri wa fedha bila kuyumbishwa na tamaa za sokoni.
  3. Hupanic unapopata hasara sokoni.
  4. Hupati drawdown kubwa.
  5. Una imani na broker wako pamoja na platform yake.

Ukiwa na hizi dalili tano basi uko tayari kutrade live. Mara nyingi hizi dalili huonekana haraka sana kwenye demo hivyo kuwa makini kuharakisha. 

Chukuwa muda mwingi ukifanya mazoezi na pia wekeza muda wako kwenye elimu na kujifunza kwani kila siku mambo hubadilika na uwe mwepesi kubadilika na mwenendo wa soko. 

 

Kwa mfano summer trading ni tofauti na winter, spring au autumn trading, masoko yana behave tofauti so njia moja ya kugundua hili ni kuwekeza muda mwingi kwenye craft.

 

Kama utahitaji broker mwaminifu bonyeza link hapa chini.

BROKER

Answer
Share: