Search
Generic filters
Notifications
Clear all

Unaweza Kuacha Kazi Na Kutrade Forex Pekee?  

  

0

Je hii inaweza ikawa a good move?

5 Answers
0

@crazy_trader Unless you are consistent with returns you are getting from the markets. However trading is unpredictable, so invest wisely the funds you are making in case trading go south.

0

@crazy_trader Daah maamuzi magumu sana inabidi ufikirie mara mbili mbili

0

@crazy_trader Haiwezekani, ni hatari

0

@crazy_traderHapana siwezi kuacha kazi niliyonayo kwa kuwa ni vizuri kuwa na vyanzo vingi vya mapato

@maselekk
Maamuzi mazuri sana

@maselekk
Wanasema ukiawa na mtaji mkubwa unaweza kuacha tu

0

@crazy_trader

Yes unaweza kwanini ushindwe if you are profitable

Answer
Share: